Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa ft. Nandy

Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa ft. Nandy

Read Time:1 Minute, 42 Second
Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa ft. Nandy

Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa ft. Nandy Mp3 Download

Navy Kenzo Tanzanian star teams up with Nandy to release this project “Bampa 2 Bampa”  off the upcoming album ‘Story Of The African Mob‘ this was production was  done by  Nahreel (of Navy Kenzo). This song “Bampa 2 Bampa” serves as the lead single off their forthcoming project, ‘Story Of The African Mob‘ album which we are anticipating. Enjoy below Bampa 2 Bampa ft. Nandy by Navy Kenzo ….

Listen below …..

Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa ft. Nandy MP3 DOWNLOAD

Bampa 2 Bampa ft Nandy

(lyrics) Nahreel:

Upendo usitie vigingi, kitandani mwendo wa bakora,

kichwa nipakie vumbi, mwendo kusaga mkongora,

Navyoliseti hilo keti,

natuma sumu ka dondora Maji kulowesha nyeti,

kifo cha mende Kuchochora Marafiki wa shuka ni kitanda na godoro

Ofisi yake mifupa sio supu ya kongoro Au kisa ukungwi maujuzi

ndio unifanyie vibaya nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya

Chorus

Mi ah Bampa 2 Bampa

Mi and you we are Bampa 2 Bampa

Penzi lako Bampa 2 Bampa

Linanoga Bampa 2 Bampa

No doubt mi ah Bampa

2 Bampa x2 Nandy:

Ehhh nimekuwa chizi,

majununi kilaza na sijiwezi

Majuto ni mjukuu naridhika na wewe

tuu Kukuwacha sithubutu Usiniache weee,

tujunafasi kibambata Uwi uwi. Nitakuja

kujuta kimekataa tujunafasi kibambata Uwi uwi.

Nitakuja kujuta kimekataa

Chorus

Mi ah Bampa 2 Bampa Mi

and you we are Bampa 2 Bampa

Penzi lako Bampa 2 Bampa

Linanoga Bampa 2 Bampa

No doubt mi ah Bampa 2 Bampa

x2 Aika: Bampa bampa,

the men is hunter Nampa nampa,

chochote anataka Nipe Tetepe tepe,

mi nilowe Kisu chako nikinowe Umenishika kwenye roho we ehh Marafiki wa shuka,

ni kitanda na godoro Ofisi yake mifupa,

sio supu ya kongoro Au kisa ufundi maujuzi ndio unifanyie vibaya,

nivike sura ya mbuzi, Nikufichie mabaya

Chorus

Mi ah Bampa 2 Bampa Mi

and you we are Bampa 2 Bampa

Penzi lako Bampa 2 Bampa

Linanoga Bampa 2 Bampa

No doubt mi ah Bampa 2 Bampa

x2 Ehhhhh Tujunafasi kibambata, Nitakuja kujuta kimekataa Tujunafasi kibambata

 

Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa ft. Nandy

About Post Author

mayowa

Content writer and Web developer For Adverts/Sponsored Post on lovenaija Call or WhatsApp 08180467462

Share and Enjoy !

0Shares
0 0
0 0
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleppy
Sleppy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %